Cole[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
FML4. Kubaliana Na Yale Ambayo Huwezi Kuyakabili:
Vyanzo vingine vya msongo wa mawazo huwezi kuvibadili wala kuvizuia. Huwezi kukizuia kifo cha mtu wa karibu yako, wala ugonjwa mkubwa, au mporomoko wa uchumi wa nchi. Hapa inafaa kukubaliana na hali ingawa ni vigumu, lakini ni bora kuchukua msimamo huo kuliko kugombana na kitu usichoweza kukibadili.
Habari JAKITOOCole
Salama Cole.... Kumekucha.Habari JAKITOO
Yaap jumamosi tulivu viph hapo ulipoSalama Cole.... Kumekucha.
Hapa salama kabisa najiandaa niende Job[emoji20]Yaap jumamosi tulivu viph hapo ulipo
Vyema usicheleweHapa salama kabisa najiandaa niende Job[emoji20]
Jamani[emoji134][emoji134]For real my love Kuna kitu utakuwa umekingoa na kuondoka nacho
Na wewe tena?[emoji23][emoji23][emoji23]jakitoo hajaonekana?Hata mimi naelekea huko bro. Hii kupenda penda hii nayo ina matatizo yake aisee. Kwema lakini?
Weeee!leta ushahidi[emoji23]Jana
Kuna vitu haviwezekani ujue?haya mambo yanatokea tu yenyeweAcha Tu bro haya Mambo haya,
Sema kujipanga na kuanza tena mimi naona sio Sawa bora uishi tu bila kupenda tena
Mmh!!Haiwezekani kumfurahisha mwanamke mpenziyo. Hata ufanyeje ni kazi bure!!!
There. I said it damn it !!!
Mimi nafikiri haya Mambo ni kama kumpa Figo mtu mwingine, ikiondoka kurudi tena sio rahisiKuna vitu haviwezekani ujue?haya mambo yanatokea tu yenyewe