Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aaaa wapi! Si ajabu wiki moja tu tayari ushaanza kukata shingo kuangalia maajabu ya uumbaji huko barabarani !!!

By the way, Consuela ameiona hiyo comment yako?
 
Aaaa wapi! Si ajabu wiki moja tu tayari ushaanza kukata shingo kuangalia maajabu ya uumbaji huko barabarani !!!

By the way, Consuela ameiona hiyo comment yako?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu, unaua ujue[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ndio utasababisha aione, BTW hayuko jukwaa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…