Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nililala. Nimelala masaa matatu. Yanatosha. Ni wikiendi na kuna mvua. Usingizi ukinijia anytime naucharaza tu.....Kweli kabisa mana uzi unajaa ipielo tu[emoji19][emoji19]
Ulilala lakini au ndo usingizi ulikuwa bado wa mgao?
Ni asili yetu. Ndiyo maana mtu hata awe mwovu namna gani, lazima atakuwa na mema ndanimwe. Hata shetani alianza kama malaika mkuu ati!Kila MTU anaweza kutenda wema....
Likes kwa likes
Hapo kwenye makwapa ya kuku hapo[emoji39][emoji39]nisingekuwa nakosekanaNililala. Nimelala masaa matatu. Yanatosha. Ni wikiendi na kuna mvua. Usingizi ukinijia anytime naucharaza tu.....
Ipielo ni shida. Jumamosi huku ni College Football. Hii ya Kimarekani ya kuukwapua mpira na kuutia kwapani halafu unatoka nao nduki. Watu wako passionate sana na timu za vyuo walivyosoma. Ni siku nzuri ya kukaa na marafiki na kutandika bia na chicken wings pamoja na pizza. Kunenepeana !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ile kauli ya "kwani nalala na nani"ndo mahala pake hapo