Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mkuu hayo mambo makubwa..Sema mkuu. Naona umeshtuka kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uoga wa kifo hufuatia uoga wa maisha. Mtu anayeishi kikamilifu ako tayari kufa wakati wowote- Mark Twain
Kwa maneno matatu naweza jumlisha kila kitu nimejifunza kuhusu maisha: Na yaendelea- Robert Frost
Next weeekeeeendddd kichapo kwa mzee wa liver
Wanaijeria kiboko. Watu bado wanakuna vichwa. Waliwezaje kuingia na msosi kwenye ndege?
Na kwako pia mkuu. Ulale salama tuonane tena kesho !!!Muwe na Usiku mwema
Pamoja sana captain..!!Na kwako pia mkuu. Ulale salama tuonane tena kesho !!!