Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

45d7de619a9854b951dbf9f0bc528e69.jpg
 
Nililala. Nimelala masaa matatu. Yanatosha. Ni wikiendi na kuna mvua. Usingizi ukinijia anytime naucharaza tu.....

Ipielo ni shida. Jumamosi huku ni College Football. Hii ya Kimarekani ya kuukwapua mpira na kuutia kwapani halafu unatoka nao nduki. Watu wako passionate sana na timu za vyuo walivyosoma. Ni siku nzuri ya kukaa na marafiki na kutandika bia na chicken wings pamoja na pizza. Kunenepeana !!!
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Hali si nzuri kwakweli[emoji24][emoji24][emoji24]
Vifo vinavyotokana na uzazi vimeongezeka kutoka 432 kwa vizazi hadi laki moja katika kipindi cha mwaka 2012-2013 hadi kufikia 556 mwaka 2016-2017 sawa na kina mama 900 wanapoteza maisha kila mwezi na thelathini kila siku nchini wakati wa kujifungua.

Takwimu hizo zimetolewa jijini Dar es Salaam na waziri wa afya, Mhe. Ummy Mwalimu
 
Masikini. Sababu ni nini? Akina mama jamani.
 
Back
Top Bottom