Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bro Leo no ipielo kipenzi changu ndo anipe matokeo

COLEWORLDLOVESYOU
Ni kweli umejikworantini kuangalia ipielo? Mkwara wa kutandikwa talaka ulikuelemea eeeh!? Safi sana bro. Mapenzi ni dhabihu na thamani ya dhabihu inatokana na umuhimu wake kwa mtoaji. Umeacha kuangalia kitu ambacho unakipenda sana ili kudumisha penzi lako. That's love. That's sacrifice bro!
 
Back
Top Bottom