Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Geologists have discovered there seems to be more water miles deep between the rocks of Earths mantle than in all the oceans of the world. The intense pressure of the tons of rocks above keeps the hot water from turning to steam and escaping.
 
Namna nyingi, ucheshi wote, urembo wote wa maisha hujumuishwa na mwanga na kivuLi. – Leo Tolstoy, Anna Karenina
Kila mtu hufikiri kubadili dunia, lakini hakuna anayefikiri kujibadili mwenyewe- Leo Tolstoy
 
Usawa mwingi waweza kuwa wazimu. Na uwazimu ule mkubwa, kuona maisha kama yalivyo na sio yanavyohitaji kuwa- Miguel de Cervantes Saavedra
Kuishi ni kitu cha nadra kikubwa dunia. Watu wengi huwa, hivyo tu. Oscar Wilde
 
Wapendwa mkawe na usiku wenye baraka,Mungu apate kuwalinda.
Mkumbuke tu;haijalishi ni wakati gani mgumu wapitia au matatizo gani yamekuandama,siku zote usiache kumtumainia Mungu maana kila mitihani unayopitia yeye anaufumbuzi nayo ni kiasi cha kumuamini na kumuache akutendee kwa wakati.
Usimuache Mungu katika kila hatua ya maisha yako,mshukuru kwa kila kidogo alichokupa na kila jambo katika maisha yako.
Mungu awabariki nyote.
[emoji120][emoji120]
 
Amen! Na wewe ulale unono! Kumbuka tu kwamba, leo Chelsea amepigwa bao na MC! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
 
New Astronauts! These 12 humans were selected from more than 18,300 applicants, which is more than double the previous record of 8,000 set in 1978.
6d6f38c3c7ee0c995901358e69e3d6d9.jpg
 
Wapendwa mkawe na usiku wenye baraka,Mungu apate kuwalinda.
Mkumbuke tu;haijalishi ni wakati gani mgumu wapitia au matatizo gani yamekuandama,siku zote usiache kumtumainia Mungu maana kila mitihani unayopitia yeye anaufumbuzi nayo ni kiasi cha kumuamini na kumuache akutendee kwa wakati.
Usimuache Mungu katika kila hatua ya maisha yako,mshukuru kwa kila kidogo alichokupa na kila jambo katika maisha yako.
Mungu awabariki nyote.
[emoji120][emoji120]
Goodnight shemeji.

Busara na hekima zako ziko wazi katika andiko hili. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom