Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapendwa mkawe na usiku wenye baraka,Mungu apate kuwalinda.
Mkumbuke tu;haijalishi ni wakati gani mgumu wapitia au matatizo gani yamekuandama,siku zote usiache kumtumainia Mungu maana kila mitihani unayopitia yeye anaufumbuzi nayo ni kiasi cha kumuamini na kumuache akutendee kwa wakati.
Usimuache Mungu katika kila hatua ya maisha yako,mshukuru kwa kila kidogo alichokupa na kila jambo katika maisha yako.
Mungu awabariki nyote.
[emoji120][emoji120]
Kalale dogo naona ulianza kurembua rembua humu na usingizi wako hapa.



Lala mnono
 
Ulishawahi kujiuliza. Ni kwa nini muda huenda mbele daima? Kwa nini haurudi nyuma?
b6b2ad31fc36ca874a85565c5e8d543e.jpg
 
Back
Top Bottom