mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
17:4811:27
17:4811:27
17:4811:30
Hahahaha hakuna kichapoWewe subiri kichapo
Giza linakaribiaSiku imeshika kasi
HahahahahaNitakutafuta popote ulipo usijali mzee wa 4g[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmh!hapo kwenye kukuota hapo usije nilaumu tu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Evening Mkuu.Good evening mkuu
Mkuu bado unaota ndoto za series[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fanya hivyo kwa kweli maana sijawahi mtu kuniota na ww uwepo kwenye hiyo ndoto
Pamoja sanaJumapili njema na yenye shamrashamra kwenu wakuu
Kama kawaida mkuuMwendo mdundo
HahahahahaMtu anakuona uko unakula lkn anakuuliza kwamba unakula??Hapana ninatema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mtu uko stendi ya mabasi unasubiria basi, mtu anakuja anakuuliza unasubiria basi? mjibu hapana nasubiria ndege.