mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
DahUpo kwenye folen ya kupata kitambulisho cha mpiga kura toka asubuhi hujafikiwa tuu anakuja mtu anakuuliza hujapata kitambulisho tuu....
Nimepata hapa kwenye folen nauza sura
DahUpo kwenye folen ya kupata kitambulisho cha mpiga kura toka asubuhi hujafikiwa tuu anakuja mtu anakuuliza hujapata kitambulisho tuu....
Nimepata hapa kwenye folen nauza sura
KabisaMrembo Numbisa
Binti mpole kabisa
Na wewe ni mwanachama wa ipielo??
Hahahahahahahaahaaaa.Upo ndani ya bas anakuja mtu anayekufahamu kwamshangao anakuuuliza unasafiri!?mwambie sina nauli ndo mana nmelala hapa nyumban
HahahahahaUnaumwa,mwili umedhoofu halafu mtu anakuuliza vipi unaumwa? unamjibu hapana,ninaigiza.
Muache tu, mimi ngoja niote motoMkuu bado unaota ndoto za series[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pamoja drN
zuri kabisa
WithdrawalAlcoholism
HahahahahaMtu anakuona umejilaza na macho umefunga anakuuliza umelala?..... Hapana najaribu kufa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dimbwi
La damu linatokea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uko kwenye foleni ya kulipa tiketi ya kuingia uwanjani kucheki mpira, rafiki yako anakuuliza na wewe unaenda kuangalia mpira?..... Nimekuja kulipa ada ya shule.
HahahhaaUtajenga kiduku
Hahahaha upo zako unafyetua matofali alafu anakuja mtu anakuambia "naona unafyetua matofali bwana" we mwambie tu "hapana nafyetua njiti"Upo kwenye folen ya kupata kitambulisho cha mpiga kura toka asubuhi hujafikiwa tuu anakuja mtu anakuuliza hujapata kitambulisho tuu....
Nimepata hapa kwenye folen nauza sura
Hahahahahajamaa anakuona umeinamia gazeti unasoma,anakuuliza,"unasoma?"......
hapana nasomesha.