Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6d47f5e99274d4470fdb4a4d6031c4ae.jpg
B
 
Unajua kuwa kuna nyota nyingi kuliko mchanga wote hapa duniani? Na kila nyota kimsingi ni likinu likubwa la nyuklia linalojiendesha kwa nuclear fission na kuzalisha nishati isiyokoma kwa mabilioni ya miaka. Picha hii mpya inaonyesha ukanda wenye mkusanyiko wa hewa (Hydrojen na Helium) ambako nyota mpya zinazaliwa kwa mamilioni kila siku.
1e2365fe23775e82f6eea3875df7fecd.jpg
Hakuna kama Mungu kwa kweli
 
Back
Top Bottom