Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,776
- 126,721
Nipo napiga chabo kwa mbali hapaWazawa mupo
Nipo napiga chabo kwa mbali hapaWazawa mupo
WordAisee. Kama ni hivi mkuu mtandaoni huku utateseka sana. Usichukulie kila kitu kuwa ni personal mkuu. Hatujuani huku hata mtu akikukwaza unapotezea na kusonga mbele. Kama kila ukikwazwa unasusa, utasusa mangapi hapa duniani? Mkeo akikukwaza napo utafanyeje? Usiwe too delicate na inferiority complex. Dunia hii ina changamoto za kila aina. Mwanaume huwa hakimbii changamoto bali hukabiliana nazo. You are a man for a reason. Please act like it !!!
Huenda Nissan nyeupe imefanya yakeISIS....
Usingizi ni muhimu SanaKukosa usingizi kunaweza kusababisha kifo na mfano mzuri ni mwanamuziki, Michael Jackson ambaye alifariki baada ya kuzidishiwa dawa za usingizi.Ni dhahiri kuwa baada ya shughuli nyingi za mchana kutwa, mwili wako unahitaji kupumzika kwa kulala usingizi.
Labda anapanga uzazi mkuuHuyu jamaa nasikia ana Mtoto kabisa kama DAB
Mkuu karibu huku tumwagiane likes na kutoa stress mbalimbaliTuambie tunajusikiliza temojed de modekeze amunya api de musyokaze. Tupo tayari uzuri ulioje huu
Tupia mkuuNaona nimewahi leo kuweka mambo ya chama chetu cha CHAUMITA. Nilifikiri watu mmeshalala. Sorry [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Eti kiungo cha mwili kikitumika sana kinaisha na kutoweka kabisa.Charles Darwin huyu ndio jamaa wa evulution