Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

6a120a1e72ee2a106076b9d780879f83.jpg
Mwenyekiti wapi
 
Unga wa mahindi

Unga wa mahindi ni chanzo kikubwa kwa watu wengi barani Afrika cha virutubisha kama vile wanga, protini, madini na vitamini. Hata hivyo, namna ya usagaji na matumizi ya unga wa mahindi yanaweza kuukosesha mwili faida ya virutubisho vilivyomo katika nafaka hiyo.
 
Unga wa dona na ule uliokobolewa

Mahindi au nafaka zingine zikikobolewa hupoteza sehemu fulani ya nafaka hizo. Kama mahindi yatasagwa bila kukobolewa unga wake huitwa unga wa dona (whole-grain flour). Na unga uliokobolewa kwa lugha ya kigeni unaitwa "refined flour".
 
Mkuu ahsante kwa ushauri wako mzuri...!!
Though natumia fake ID ambayo iko very close to my real ID(by name), napata shida sana kufake my true lifestyle..!!
Kati ya udhaifu mkubwa nilionao ni kuentertain overwhelming insults..! Ndo maana ninapohisi kumuudh mtu baada ya kuona viashiria vya maneno ya dharau juu yangu uwa niko fasta kushuka ili tusetle down the case...! Sasa ktk mazingira ya kushuka mkuu ndo unagandamizwa mara mbili zaidi.... Utajisikiaje and yet your a men...?? Nianzishe na mimi vita ya maneno kitu ambacho ktka maisha halisi siwez...! Nawezaje kukaa sehemu moja na mtu anayenidharau..?? au kuentertain source ya tatizo..? Niwe mkweli tu mkuu huyu ndg aliyenikashifu ameniumiza sana..!!
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom