Usipoziba ufa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Agiza fursana naja lipia sawa eeh[emoji38][emoji38]ila usijali nitakuletea matokeo sawa babes?
21hrs ago18:02
Mkuu niajeAaaa wapi! Si ajabu wiki moja tu tayari ushaanza kukata shingo kuangalia maajabu ya uumbaji huko barabarani !!!
By the way, Consuela ameiona hiyo comment yako?
Mtaka cha uvunguni
Mtaka cha uvunguni
[emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aseno ina mashabiki wengi eeh!
Safi sana !!!
Mchagua jembe
Unatulia kusubiri matokeoMimi safi kabisa. Ni asubuhi njema nzuri tulivu yenye amani na matamanio mapya. Tumshukuru Mungu !!!
Tusiopenda mpira Jumamosi huwaga ni mateso hapa.
Oho mama iyeyeSafari siyo kifo !!!
![]()