mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Game ilikuwa Tafu sanaChelsea vs Man City inakuja muda mfupi
Game ilikuwa Tafu sanaChelsea vs Man City inakuja muda mfupi
Hi niaje MkuuHello
ZiiiiiiiMan uuuuuu hureeeeeee
Wanasubiri viboko
AMUN RA19:00
Kilicho bora zaidiChannel ten habari
Kwa kila postLikes kwa likes
Hapo sasaليكس بل ليكس
Mtu anakuona umejilaza na macho umefunga anakuuliza umelala?..... Hapana najaribu kufa.
KK nimerudi[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Basi lala ukiamka usisite kunishtua.
Ila niote huko
Kweli kabisa uko slowHuu uzi mbona hautembei sana kama zamani
He he heeFanya hivyo kwa kweli maana sijawahi mtu kuniota na ww uwepo kwenye hiyo ndoto
Angalia usije ungua tu[emoji6]Mimi nitaota moto wala usijali
mtu anakupigia simu saa nane usiku anakuuliza umelala?... Hapana nipo nje naota jua.
Siwezi kuungua, labda nikaukeAngalia usije ungua tu[emoji6]
Fuleshi,habari ya dom[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari za Jumapili carba
Nipo kamanda wa UK. Jana nzima hukuonekana humu. Kwema?Mkuu niaje
Livafool[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool
Sharti abo........[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mtaka cha uvunguni
Sharti abong'oe...CC Carba [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Mtaka cha uvunguni