mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Obsession.....
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Obsession.....
![]()
15:2118:38
YapKila jambo na muda wake
Liverpool vs NewcastleDakika ya 83 man wanaongoza 3-0
Usingoje matekeTenda wema uende zako..
Weekend safi kabisa hiyoNililala. Nimelala masaa matatu. Yanatosha. Ni wikiendi na kuna mvua. Usingizi ukinijia anytime naucharaza tu.....
Ipielo ni shida. Jumamosi huku ni College Football. Hii ya Kimarekani ya kuukwapua mpira na kuutia kwapani halafu unatoka nao nduki. Watu wako passionate sana na timu za vyuo walivyosoma. Ni siku nzuri ya kukaa na marafiki na kutandika bia na chicken wings pamoja na pizza. Kunenepeana !!!
Hata nduli iddi Amin alifanya memaNi asili yetu. Ndiyo maana mtu hata awe mwovu namna gani, lazima atakuwa na mema ndanimwe. Hata shetani alianza kama malaika mkuu ati!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha unapenda KukuHapo kwenye makwapa ya kuku hapo[emoji39][emoji39]nisingekuwa nakosekana