Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanataka kufanya mabinti washinde na njaa sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tabia zinazoathri afya zetu kwa kiwango kikubwa;

Kuna tabia ambazo zimekuwa zikiathiri afya zetu kwa kiwango kikubwa. Kuna wakati tunafanya hivyo aidha kwa kutokujua au kwa kujua.

Hivyo miongoni mwa tabia hizo ambazo huathiri afya zetu kwa kiwango kikubwa ni kama ifuatavyo;

Ulaji mbaya wa chakula ni moja ya athari ambayo huathiro afya zetu moja kwa moja. NaHapa ndipo watu wengi wana angukia, kuna makundi mawili ya ulaji mbaya wa chakula ambapo ni;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…