Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mara waseme wanywa kahawa huishi miaka mingi, mara kahawa inasisimua ubongo na immune system, mara hivi. Ndiyo maana mi siwasikilizi hawa watu. Nakula karibu kila kitu in moderation na kubadili badili. After all eat well, exercise and die anyway. Aaaaargh !!!
 
Kesho nayo ni siku ukiitumia vizuri waweza badili maisha yako.
Zile changamoto za juzi,jana na leo ukazitumie kesho kama daraja la kufikia malengo yako.
Ukumbuke tu kuwa na mtazamo chanya kwa kila ukifanyacho.
Mungu awatangulie kwa kila jambo.
Mkawe na usiku mwema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…