Kumekucha
Tuko salama kabisaSalama salimini kabisa on my side hofu kwa side yako
Kabisa mkuuNa usiabudu chochote kile isipokuwa yeye tu.
Sijui nini kinatokea na majibu kutoka sehemu husika hakunaBandari ya Amani.
Lakini siku hizi Coco beach panatisha, ni mwendo wa watu ndani ya Viroba
Du hatari sana
likesGoood newz
Ukiharibu misitu ni hatari sanaMiti hutoa hewa ya Oksijeni ambayo huvutwa na Binadamu.
Binadamu hutoa hewa ya Carbondioxide ambayo huvutwa na miti.
Miti hutumia Carbondioxide kujitengenezea chakula chake kwa njia ya Photosythesis.
Binadamu hutumia Oksijeni kuvunja vunja chakula na kujipatia nishati kwa kutumia Upumuaji(Respiration).
Ni kweli miti ni uhai
likes kwa likes[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]