Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Pia kwenye hifadhi hii yenye misitu ya jamii ya mikoko (Mangrove forest) ndio kivutio kizuri sana kwa hifadhi hii, misitu hii yenye mandhari nzuri kwa wanyama jamii ya nyani na kima, pia na ndege wengi sana huishi na kuzaliana katika misitu hii mizuri ya pwani ya hifadhi hii ya kipekee.