Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-02-19-41-07.png
 
Zifuatazo ni miongoni mwa njia hizo.
Unywaji wa maji
Pamoja na kukabiliana na tatizo hili maji yana umuhimu mkubwa katika mwili wa binadamu.
Katika hali ya kawaida, upungufu wa maji unaweza kuchangia kwa namna moja au nyingine kutokea kwa tatizo hilo.

Ni vyema binadamu kunywa maji yasiyopungua lita tano kwa siku, hiyo itachangia kulainisha siyo midomo tu, bali ngozi ya mwili mzima kwa ujumla.
 
Matunda na mboga za majani
Matunda pia hususani yenye maji maji kama karoti, matango, nyanya na matikiti yanaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kukinga au kukabiliana na tatizo hili.
Unaweza kula matunda hayo yakiwa hivyo au kwa kutengeneza juisi. Mboga za majani pia kama mchicha na spinachi unaweza kuchemsha na kunywa maji yake
 
Back
Top Bottom