myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
mambo yanaenda..ila mchana huu watu wamepumzika au wanakulaJumanne inaendeleaje wakuu? Naona kuko kimya kidogo leo. Yote kwa yote tumshukuru Mungu !!!
Nini hii mkuu? Caption kidogo ingesaidia kabla mtu hajaangalia !!!
AngaliaNini hii mkuu? Caption kidogo ingesaidia kabla mtu hajaangalia !!!
Karibu huku kwetu. Likes kibao. Na wewe tu kumbuka ku-like posts za wenzako. Huku kuna kila kitu isipokuwa siasa, dini na matusi. Karibu sana !!!
Kama ni kitu traumatic siwezi. Huwa sipendi kuona majeraha wala damu. Ndiyo maana nikauliza. Hii ndiyo sababu video zenye utata huwa zinawekewa disclaimer/warning. Siyo vizuri kuangalia kila kitu. Wakati mwingine we have to protect the mind ....Angalia