carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Wekaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuingilia...kwenye simu yako nikaiiba. Nimeiba nyingi. Niziweke?
Wekaaa[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuingilia...kwenye simu yako nikaiiba. Nimeiba nyingi. Niziweke?
Nitapigwa ban. Sheria za JF haziruhusu. Hunitakii mema ww !!!Wekaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kutoa ni moyo amepewa bure atoe bureMkuu si kwamba anapenda dudu, wenye dudu wanampenda naye hana kinyongo, kosa liko wapi hapo kiongozi? Kila anayemuona anamtamani, hana la kufanya, acha awape tu.
Niliweka ndoano kule. Ngoja nikaangalie kama nimeambulia mapovu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio naona avatar yake ipo banned
Hahahaaha eti ukatest zari hahaha kule bana patamu kiaina
Kula likes japo sijaelewaليكس بل ليكس، المطر علي ليكس
Hahaha saiv nshakuzoea hata ukorofishe aje sitoi mapovuWe angalau afadhali huwa unajibu japo kwa ufupi fupi hata kama ni kicheko tu inatosha. At least tunajua kuwa you are a human being and not a robot [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mimi nadhani karibu nitakujulia. Nikitaka u-respond ni kukukorofisha tu makusudically aka kutest zali....