Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
We angalau afadhali huwa unajibu japo kwa ufupi fupi hata kama ni kicheko tu inatosha. At least tunajua kuwa you are a human being and not a robot [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahaa kama mie tu nsivyopendaga maswali maana naona yatanipotezea muda wa kula likes
Na mimi nadhani karibu nitakujulia. Nikitaka u-respond ni kukukorofisha tu makusudically aka kutest zali....