Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapokuwa na hereni, pete ama ndoana ya urembo kwenye ulimi ama mdomoni, unashauriwa kumwona daktari wa kinywa na meno kila baada ya miezi sita (6). Daktari wa meno atafanya kazi ya kuhakiki ikiwa kidude kilichovalishwa kina madhara kwenye meno ama fizi, hivyo kudhibiti athari zinazoweza kutokea kwa kutoga ulimi ama mdomo.
 
Wana michezo wanashauriwa kutovaa hereni, pete ama ndoana ya urembo iliyopo kwenye ulimi ama mdomoni wanapokuwa mchezoni, kwani vyombo hivi vya urembo vinaweza kunasa kwenye ngozi bila kutarajia hivyo kusababisha madhara yasiyotarajiwa
 
Wana michezo wanashauriwa kutovaa hereni, pete ama ndoana ya urembo iliyopo kwenye ulimi ama mdomoni wanapokuwa mchezoni, kwani vyombo hivi vya urembo vinaweza kunasa kwenye ngozi bila kutarajia hivyo kusababisha madhara yasiyotarajiwa
 
tapatalk_1507018266177.png
 
Tiba hii hapa
Kwanza kabisa kama wewe unapenda kutumia vinywaji vikali ‘Alcohol’, kahawa na vinywaji vyote vyenye ‘Caffeine’ jitahidi kuacha kwani inaweza kuwa sababu ya wewe kusumbuliwa na tumbo.
Lakini kama tumbo ni ugonjwa unaokusumbua mara kwa mara, kwanza chunguza katika hospitali kuhakikisha huna tatizo kubwa la kutibiwa kabla ya kujipa huduma za kinyumbani ‘Natural Remedies’.
Lakini ukishagundua huna tatizo kubwa huduma ya kwanza unayoweza kufanyiwa nyumbani ni hii hapa.
Kunywa chai yenye mchanganyiko wa Tangawizi, ‘chamomile’ na majani ya nanaa.
Limao nayo inasaidia, unaweza kukatakata vipande na kunyonya maji yake kama unavyokula chungwa, au unaweza kuweka kwenye glasi ya maji ya vuguvugu na kunywa.
 
Kula Yogurt
Kula maziwa aina ya yogurt, haya yanasaidia kuliweka sawa tumbo lako hasa pale linapokuwa kwenye hali ya kuvurugika. Kwa kufanya hivyo unaweza kusafisha kwa kutoa uchafu tumboni au kukata kwa maumivu tu.
Hapa kwenye yogurt epuka yenye sukari nyingi jaribu kula yenye ladha ya vanilla ni nzuri zaidi, kumbuka kinywaji hiki kina tibu mambo mengi kwani mbali na tumbo pia husaidia kutibu msongo wa mawazo na kuweka sawa akili
Tangawizi pekee
Chukua tangawizi isage kamua maji yake kisha weka kwenye kinywaji chochote chaweza kuwa cha baridi au cha moto ni dawa pia.
 
Epuka kula vyakula vizito usiku mwingi
Vyakula hivyo husababisha tindikali kwenye tumbo na hufanyika pale usiku unapokula haraka na kupanda kitandani bila kukipa nafasi chakula kuyeyuka tumboni.
Kumbuka wakati mzuri wa kula chakula ni kati ya saa mbili usiku mpaka saa nne na baada ya hapo usipande kitanda wakati huohuo jaribu kujipa nafasi kwa ajili ya kuruhusu chakula kifike eneo husika na kianze kusagwa ndiyo ulale.
 
Wengine hufanya zoezi la kutembea baada ya chakula ili kukipa nafasi nzuri ya kufanya kazi.
Utakuta mtu anakula viazi au wali maharagwe na jamii ya vyakula vingine vizito kisha hajipi muda wala hanywi maji anadandia kitanda kisa amechelewa kulala, hii ni sumu ndani ya tumbo lako kwani nafasi ya kufanya kazi inakuwa ndogo sana.
 
Back
Top Bottom