carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Msukumo wa damu;
Hii kitaalamu inaitwa pulse rate,kwa kutumia vidole vyako viwili vya mkono wako kandamiza kidogo sehemu ya mkono ambapo kuna kidole gumba. kwa kawaida utahisi damu inapita na inasukuma vidole vyako na kama husikii kabisa basi huyo ni mfu.pia unaweza kuweka vidole shingoni kama wafanyavyo askari mara nyingi kukagua kifo.
Angalia jicho;
Jicho lina duara mbili nyeusi, moja ni kubwa na nyingine ndogo kabisa kitaalamu tunaita pupil. kwa hali ya kawaida pupil ukipiga tochi ghafla nasinyaa na ukitoa tochi inapanuka kawaida. sasa kwa mfu hautaona hayo mabadiliko lakini pia pupil yake itakua imepanuka kuliko kawaida.angalia tofauti kwenye picha hizi mbili.