Dalili 8 zitakazo kusaidia kugundua kama mtu/mgonjwa amefariki
Kumekua na ripoti nyingi na matukio ambayo inatokea mtu anazikwa kabla hajafa, hasa sehemu za vijijini sana ambapo hakuna madaktari au wahudumu wa afya. kwa sheria za tanzania, mgonjwa akifia hospitali basi dakatari ndio anaruhusiwa kukagua na kuhakikisha kweli mgonjwa huyu amefariki kabla ya kwenda kuzikwa.
Elimu hii ya kujua kama mgonjwa bado yuko hai au amekufa ni vizuri ikatolewa kwa watu wote ili kuepusha matukio hayo ya kuzika watu walio poteza fahamu tu wakidhani ni wafu.zifuatazo ni dalili hizo...