Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Matatizo yote haya ni nyie ndio mnayasababisha. Mkikunwa sana mnalalamika, mkiguswa guswa subirini atakavyo kutukana.Hatari mzee miaka 60 bado anataka kukwichi kwicha kama kijana daah nanilii tamu
Hahahah
HahahahahaNg'ombe hazeeki maini
Huku tupo poa kabisaShwari..kwenu?
HahahahahaYeah! Kwenye hiyo kitu (nanilii) Mungu Alituweza wanaume...
Imagine hii: Watu wengi wanakufa na kansa ya tezi dume kwa sababu huwa hawataki kufanyiwa operesheni. Operesheni hiyo - hasa ikifanywa baada ya kansa kuwa imekuwa advanced kidogo ina uwezekano mkubwa sana wa kumuacha mgonjwa akiwa hanithi japo uwezekano wa kupona pia ni mkubwa. Kuliko kuishi kama mahanithi watu wanachagua kufa na tai shingoni....
HahahahahaHeri tucheze football na loya
YapKinye kinye kisonzo