Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kijana mwenye acc imenenepa na show A+ ni wakutafuta,tena wengi wa hivyo ujiandae kupangwa foleni
Ila kwa wazee unajua kabisa hapa nakula hela ya pension show kwa vijana
Mungu anakuona ujue, ooh! [emoji23][emoji23]