Dalili na Ishara za kiharusi,kama mwili kuwaka moto, ganzi, kusisimuka, kupooza mikono na miguu, kuchanganyikiwa, kuona vitu mara mbili mbili, kizunguzungu, kushindwa kuongea vizuri na mwili kuwa dhaifu upande mmoja. Usipuuze dalili hizi wahi hosipitali mapema kabla haijafikia hatua ngumu ya kutotibika na kusababisha kifo.