Kwa nini stroke ikaitwa kiharusi? Aliyetafsiri hii anahitaji atoe ufafanuzi kwa kweli !Dalili na Ishara za kiharusi,kama mwili kuwaka moto, ganzi, kusisimuka, kupooza mikono na miguu, kuchanganyikiwa, kuona vitu mara mbili mbili, kizunguzungu, kushindwa kuongea vizuri na mwili kuwa dhaifu upande mmoja. Usipuuze dalili hizi wahi hosipitali mapema kabla haijafikia hatua ngumu ya kutotibika na kusababisha kifo.
Ndio huuUsiku wa likes
Nimeona tv ya chogo[emoji23][emoji23][emoji23]we mgomvi ujue?
Ila deiwaka naiweza[emoji6]
Na hospitali zetu hizi vitu kama heart attack na stroke ni kuomba Mungu tu mtu visikupate kwa kweli. Hata kama wakigundua ni kweli unapata heart attack au stroke mishipa ya damu imeziba ubongoni watafanya nini? Huduma za afya ni uwanja mmojawapo muhimu ambapo hawa jamaa wa Ulaya na Marekanj wametuzidi sana. Unapata heart attack/stroke huko kwao helikopta/ambulance inaletwa na moja kwa moja kwenye operation....Dalili na ishara za shambulio la moyo, kama maumivu makali ya kifua, mikono, shingo na taya, uchovu mwingi, kichefuchefu, kutapika, kukosa nguvu, na kutokwa na jasho kali kipindi cha baridi.Upatapo dalili hizi wasiliana na wataalamu wa afya mapema watakaokuelekeza dawa kwa ajili ya kulinda na kurekebisha mapigo ya moyo na kulinda mishipa na misuli ya moyo.
Na wanawake mmezidi. Kakosa kadogo tu mtu anazira hata kama gemu ilishaanza. Yaani mtu inabidi uwe mwangalifu usije ukakorofisha ukajikosesha. Geez [emoji23][emoji23][emoji23]Usibishane na mwenzio, hii itasababisha kupoteza nia na hamu ya kufanya tendo na hivyo kukukosesha raha katikati ya tendo. Epuka hasira na mawazo kabla na wakati wa tendo.
Usiwe na hofu juu ya mwili wako na maumbile yako, hii itakusaidia kujiamini na kujiheshimu mbele ya mwenza wako na jaribu kuweka mawazo sana katika sehemu ya mwili wako na mwenzio unayoikubali zaidi.