Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rabies si ugonjwa mzuri kwakweli ndio mana inashauriwa uking'atwa na mbwa/paka upate chanjo na uhakikishe umemaliza chanjo zote,changamoto inakuja kwenye chanjo sasa mana hapo ndo penye mtihani..
Pole,japo halikuwa kosa lako,apumzike kwa amani.
Sijabahatika kuona case iliyofikoa hatua hiyo,kwahiyo yawezekana ama isiwezekane kuwa hivyo,sema kwa case kama hiyo postmortem ndio ingetoa majibu mazuri...ila nitajaribu kufuatilia nikipata jibu nitakuletea.
 
Ugonjwa wa pumu, ambapo njia ya hewa uvimba, kujaa maji na kuzuia mfumo wa upumuaji kufanya vizuri.
Ugonjwa wa kucheua na kiungulia(Gastro esophageal reflux disease) hii usababishwa na chakula ambacho kishaingia tumboni na kuchanganywa na tindikali kurudi kaika koo na hutokea mara nyingi usiku ambapo mtu hushindwa kupumua vizuri na kukooa sana
 
Matatizo mengine ambayo husababisha mara chache ni pamoja na Allergy, dawa za muda mrefu, saratani, TB, emphysema, mapafu kuanguka.
Kumbuka kikohozi cha muda mrefu sio cha kupuuzia kwani huweza kusababisha maumivu makali ya kichwa, uchovu, jasho kupita kiasi, kushindwa kuzuia haja ndogo na kuvunjika mbavu.
 
Kukosa usingizi na kutokulala vizuri mara kwa mara husababisha matatizo mengi kiafya katika muonekano, kumbukumbu, ngozi, uzito, akili na usalama katika mazingira. Yafuatayo ni matatizo ambayo unaweza kuyapata endapo utakosa usingizi mzuri kwa muda mrefu au kulala vibaya.

Ajali, kukosa husingizi kwa muda mrefu usababisha uchovu ambao unaweza pelekea kuumi katika mazingira na kazini.
Kuharibu uwezo wa kufikiria, hupunguza akili ya mtu kufikiria, kujifunza, kukumbuka vitu kwa haraka na kufanya maambuzi sahihi ya vitu.
 
Hatari ya kupata magonjwa, kukosa usingizi mara kwa mara umuweka mtu katika hatari ya kupata magonjwa ya akili, moyo, presha, kiharusi, kisukari nk.
Kukosa hamu ya mapenzi, hii ni kwa wote wake kwa waume kwani uharibu mfumo mzima wa mapenzi na hormoni katika mwili na kupunguza au kumaliza hamu ya kufanya mapenzi.
 
Kuzeesha ngozi, kukosa usingizi kwa muda mrefu usababisha ngozi kuwa na mikunjo, kubadilika rangi na kuzeeka na macho kuvimba.
Kuongezeka uzito, kwa kuongeza njaa na hamu ya kula ukufanya kuwa na uzito kupita kiasi.
 
84bb7806661aab4f5d21bd7bf43de561.jpg
utapita katikati yao
Mwanadam akikatiza hapo wanakimbilia mtoni hao
 
Back
Top Bottom