myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Jifunze mengi
"Nendeni mkaitawale dunia na vyote vilivyomo." Mwanadamu ana mamlaka hayo aliyopewa na Muumba japo mara nyingi anayatumia vibaya !!!Mwanadam akikatiza hapo wanakimbilia mtoni hao
Ni wa kukoment chochote.ila sio siasa tuUzi wenu
Wengine ndio sehemu ya kusomeana mashtaka hiyo[emoji23][emoji23] ila wanawake tunamidomo[emoji23][emoji23][emoji23]Na wanawake mmezidi. Kakosa kadogo tu mtu anazira hata kama gemu ilishaanza. Yaani mtu inabidi uwe mwangalifu usije ukakorofisha ukajikosesha. Geez [emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisaaaaaaa unataka tuache mvinyo??Kuhathiri mfumo wa damu, utafiti unaonyesha kuwa unywaji wa mvinyo kupita kiasi husababisha magonjwa ya moyo, mishipa na damu kwa kubadili mapigo ya moyo na kupunguza kolesteroli ambazo hurekebisha mzunguko wa damu
Matatizo ya akili, hutumiaji wa wine kwa muda mrefu uharibu uwezo wa akili asa katika tabia, kumbukumbu na uwezo wa kutambua vitu kwa kuharibu seli katika ubongo.
Wakayi mwingine miguu yaweza kujaaNgozi kuwa na rangi ya kijivu
Kucha kuwa dhaifu
Kusikia hasira na kuhamasika haraka
Kuchoka sana kuliko kawaida
Maumivu makali ya kichwa
Kupungua kwa uwezo wa kufikiria
Kusikia kichwa chepesi pale unaposimama
Miguu na mikono kuwa ya baridi sana
Uchovu wa mara kwa mara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa kuangalia fursaKamu zisi wei, ai wili givu yu a frii endi anikondisheno hagi! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
SHIMBA YA BUYENZERabies si ugonjwa mzuri kwakweli ndio mana inashauriwa uking'atwa na mbwa/paka upate chanjo na uhakikishe umemaliza chanjo zote,changamoto inakuja kwenye chanjo sasa mana hapo ndo penye mtihani..
Pole,japo halikuwa kosa lako,apumzike kwa amani.
Sijabahatika kuona case iliyofikoa hatua hiyo,kwahiyo yawezekana ama isiwezekane kuwa hivyo,sema kwa case kama hiyo postmortem ndio ingetoa majibu mazuri...ila nitajaribu kufuatilia nikipata jibu nitakuletea.
Kwa nini stroke ikaitwa kiharusi? Aliyetafsiri hii anahitaji atoe ufafanuzi kwa kweli !