HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,702
- 48,146
Jermaine Dupri (JD) ndie aliewatoaDaddy mack na mack Daddy
Jermaine Dupri (JD) ndie aliewatoaDaddy mack na mack Daddy
Konge Kiongozi.Heh[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kuna Watu yameshawakuta.View attachment 601661
Hahaaaa, funny! [emoji23][emoji23]
Watu yameshawatokea kweli. Unapiga boksi unajinyima unafika home hakuna kitu. Na ukizubaa wanakuua. Mambo yamebadilka sana !!!View attachment 601661
Hahaaaa, funny! [emoji23][emoji23]
Matapeli wa kimataifa hao mkuu. Kuna jamaa alishawahi kupiga hela ndefu baada ya kuuza Eiffel tower...
Matapeli wa kimataifa hao mkuu. Kuna jamaa alishawahi kupiga hela ndefu baada ya kuuza Eiffel tower...
Ni takriban Miaka minne hivi sasa imeshatimia.Mack daddy ni Marehemu aisee nilikuwa sijui
Wengi tu wametutoka Kiongozi.Mack daddy ni Marehemu aisee nilikuwa sijui