Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b3782783e846b94d2fcba4b619b272bd.jpg
 
Huathiri mfumo mzima wa kufanya mapenzi na kumfanya apizi haraka sana ( ndani ya dakika 3 tu).

Hii inatokana na kweli kuwa mwili wako unakuwa umeuzoeza kutoa mbegu kwa dakika chache kupitia njia ya kujichua.Tambua kuwa hakuna kitu wanawake wanachukia kama kupizi mapema.
Hawa wanaojichua ni kwa kuwa wakiwa kwenye zama za mwanzo za harakati za mabadiliko ya mwili, wadada huwa hamuwapi watakacho, hili huwafanya kugeukia njia mbadala ambayo hatimaye wanakuwa addicted
 
Back
Top Bottom