Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAMBO YA KUFANYA KILA UAMKAPO ASUBUHI

Kwa kawaida mida ya asubuhi huwa ni rafiki mkubwa kwa binadamu kwani uamka ukiwa na akili mpya ili kuanza siku mpya. Haya ni mambo ambayo unapaswa kufanya pale uamkapo asubuhi ili kuboresha afya yako kwa kuepuka magonjwa ya moyo, akili, na kupata mafanikio katika maisha.
 
Kunywa glasi ya maji, itakusaidia kuondoa uchafu na sumu mwilini kupitia haja ndogo
Amka mapema, toka nje na fanya mazoezi mepesi na nyoosha viungo walau kwa dakika 20 itasaidia kuchangamsha akili na kuongeza afya ya ubongo katika kutunza kumbu kumbu
 
Kunywa chai badala ya kunywa kahawa au kula matunda yenye nyuzinyuzi, au chakula kiasi chenye protein
Piga mswaki ili kuimarisha afya ya kinywa na kuzuia magonjwa katika mifumo ya hewa na chakula
Elekeza akili yako katika mafanikio na kusahau vikwazo na udhaifu wako, jisahihishe makosa na kuweka mipango endelevu.
 
Soma au tazama kitu chochote kinachokuvutia itakusaidia kutabasamu, kucheka au kusahau matatizo na kufanya kazi zako vizuri.
Hakikisha unaaga kila unapotoka nyumbani asubuhi itakusaidia kupata baraka na kutuliza akili katika shughuli zako.
 
MAKOSA YANAYOFANYWA NA WANAWAKE WENGI KWENYE CHUMBA CHA DAKTARI

Haya ni makosa ambayo wasichana na wanawake wengi huyafanya mara nyingi wanapokuwa katika chumba cha daktari na hivyo kusabbisha ugumu kwa matibabu yao. Yasome kwa makini kama ushawahi kuyafanya au kukutana nayo yaepuke.
 
Kufanya tafiti nyigi juu ya magonjwa yao, hili ni jambo zuri kwa afya zao ili inaweza kuwa tatizo asa anaposoma mambo mengi na kutembelea hosipitali nyingi kwa tatizo lilelie. Hii usababisha wanawake kutatizwa na kuwachanganya mbele ya daktari asa pale anapochunguzwa na kugundulika na tatizo ambalo hakulisoma au kuambiwa kwa daktari wa kwanza na kuona hayana maana hivyo kuama na kwenda hospitali nyingine.
 
Kutokujieleza vizuri na kuuliza maswali, hii uchangiwa nauoga ambao upelekea wanawake kuingia na mtu wa kumsindikiza au kumsaidia kueleza tatizo lake au kumuuliza maswali kuhusu afya na tatizo lake.
Kutawaliwa na hisia au wasi wasi, hii usababisha uogo, hisia au kulalamika pale wanapofanyiwa uchunguzi au vipimo vinavyohusiana na maumbile yao.
 
Kutokujieleza vizuri na kuuliza maswali, hii uchangiwa nauoga ambao upelekea wanawake kuingia na mtu wa kumsindikiza au kumsaidia kueleza tatizo lake au kumuuliza maswali kuhusu afya na tatizo lake.
Kutawaliwa na hisia au wasi wasi, hii usababisha uogo, hisia au kulalamika pale wanapofanyiwa uchunguzi au vipimo vinavyohusiana na maumbile yao.
 
Kutafsiri na kujitibu dalili zao wenyewe, ukweli wa mambo ni kwamba ni raisi kwa mwanamke kuingia katiaka chumba cha daktari na kumwambia naumwa ugonjwa flani bila kutaja dalili kwanza. Hii umfanya kuona kama utambuzi wa daktari ni uongo na tofauti na hivyo kufanya matibabu kuwa magumu.
 
MADHARA YA VIATU VIREFU NA JINSI YA KUEPUKA

Mchuchumio’ ama viatu vyenye visigino virefu, ni mojawapo ya vitu vinavyopendwa na baadhi ya wanawake mbalimbali, sio Tanzania pekee bali dunia nzima.
Wataalamu wanaeleza kuwa viatu hivi huharibu pingili za uti wa mgongo na huvunjavunja mifupa ya visigino. Wanawake wenye maumbo ya kati, ambao si wanene wala wembamba wamekuwa wakipendelea viatu virefu. Kwa kiasi kikubwa wasichana wafupi,
 
kikubwa wasichana wafupi, wamekuwa wakipendelea kuvaa viatu virefu ili angalau na wao waonekane warefu.
Ifaamike kuwa unapovaa viatu hivi uzito wa mwili uamia mbele ya mwili na kufanya nyonga isogee mbele na kumfanya mtu awe na kiuno kizuri na mgongo unaovutia hivyo kutegemea viatu hivi kwa muda uharibu umbo pale anapovaa viatu vya kawaida sambamba na .
Misuli ya visigino kukakamaa na kumfanya mtu aonekane na mguu mzuri ufunga vidole vya miguu na kusababisha maumivu makali chini ya mgongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…