Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna hawa wengine wao hupenda wanyama wa porini kama nyani. Katika historia iliyopo sasa magonjwa haya ya ambayo yamekua hatari kama Ebola na UKIMWI chanzo chake mpaka sasa inasemekena ni wanyama hawa wa porini kama sokwe na nyani. Kwa tabia hizi za kukaa na wanyama hawa waliweza kuwambukiza binadamu.
 
Pia kuna ugonjwa kama kichaa cha mbwa ambao huambukizwa baada ya kuumwa na mbwa.
Hakikisha mnyama wako anapata chanjo na kuoshwa na dawa ambazo zitamzuia kupata magonjwa na kuzuia asiweze kusambaza magonjwa kwa wanyama wengine au kwa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…