Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KULALA KWENYE CHANDARUA


Kuna wadudu wengi hutembea nyakati za usiku kujitaftia chakula. Kuna wale ambao chakula chao ni damu ya mtu kama mbu. Mbu husambaza hasa ugonjwa wa malaria pia kuna magonjwa mengine kama dengue, zika na matende huweza kusababishwa na mbu.
 
Na pia wakati wa usiku unapokua usingizini sio rahisi kugundua wadudu hawa kama wanataka kukudhuru.
Kuwa na usingizi mzuri na usiokua na usumbufu unahitaji kulala katika chandarua ambacho kitaweza kuwazuia wadudu wasiweze kukudhuru wakati umelala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…