Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemeji wajua nilitelekezwa siku 3 bila maelezo hapa?au umesahau?
Halafu Yegomasika ile icecream yangu iko wapi?[emoji23][emoji23]
Mbona mi nimetelekezwa karibu wiki sasa na sijatishia talaka? Kuvumiliana muhimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

KaYego kapo madarasani bila shaka. Subiri kakijitokeza hapa. Mzigo wa maua utakuwa siyo wa kawaida...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…