Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Shinda siyo shida
Mapovu yako huwa ya beer tunakunywa. [emoji6] [emoji6]Huo uzi niliuona,nikaona jamaa anatafuta kiki na comments mana na yeye kaanzisha uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui nikatoe povu
Hizi nyuzi mbili zinanyima watu raha kwakweli
LakersPata likes kama mabao ya Kobe Bryant
Aisee tutamiss barca la ligaJosep Maria Bartomeu amekiri kuwa kuna uwezekano wa Barcelona kutoka La Liga ikiwa Catalan watapata uhuru kutoka Hispania
Nimekuhamu piaNimewamiss humu