Chachata
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 201
- 135
Najiuliza tu, sijui hasara yake lakini nawaona hawa ni watu ambao kwa kiasi fulani wanauelewa na migodi ya Tz. Wakijumuishwa kwenye kamati kuna hasara gani kwa CCM?
Yaani unafanya mark done
Yaani unafanya mark done
Haha