Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-05-22-42-59.png
 
UPUNGUFU WA DAMU (ANEMIA)



Damu ni tishu ndani mwili wako ambayo kazi yake kubwa huifanya ni usafirishaji ndani ya mwili. Damu husafirisha vitu mbalimbali ndani ya mwili kama vile oksijeni, homoni, vitamini, taka mwili n.k.
ili kuju zaidi kuhusu damu soma hii
DAMU

Tunapozungumzia upungufu wa damu mwilini (Anemia) tunaangalia hasa upungufu wa seli nyekundu za damu.
 
Upungufu wa damu wa kurithi.
Upungufu huu wa damu husababishwa na kurithi vinasaba kutoka kwa wazazi ambavyo husababisha mifupa kushindwa kabisa kuzalisha seli nyekundu za damu au kuzalisha seli nyekundu za damu ambazo hazina uwezo wa kubeba na kusafirisha oksijeni ndani ya mwili. Hivyo kusababisha madhara ya Anemia.
 
Back
Top Bottom