Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Upungufu wa damu pia husababishwa na hitilafu katika mifupa. Hitilafu hii huweza kusababishwa na utumiaji wa madawa au mionzi ambayo huenda kuharibu seli za mifupa ambazo huzalisha seli nyekundu za damu na kusababisha upungufu wa damu mwilini.
 
Ukosefu wa lishe bora pia husababisha upungufu wa seli nyekundu za damu.
Ili kuzalishwa seli nyekundu za damu mwili unahitaji protini, kabohaidreti, vitamini B12, asidi ya foliki na madini ya chuma kwa wingi. Endapo mwili utakosa vitu hivi kwa ukosefu wa lishe bora mwili utashindwa kuzalisha seli nyekundu za damu.
 
1507234160757.jpg
 
Pia hitilafu katika mfumo wa umeng’enyaji chakula huweza kusababisha Anemia. Hitalafu hii hasa hutukea katika tumbo ambapo vichoceo vinavyosababisha utumbo kunyonya madini ya chuma kukosekana na hivyo kuufanya mwili kupungukiwa na madini ya chuma. Kukosekana kwa madini ya chuma mwilini husababisha seli nyekundu za damu kutotengenezwa ndani ya mifupa na kusababisha upungufu wa damu.
 
Mapafu yamezungukwa na mbavu 12 kwa ajili ya kuyalinda kutokana na usumbufu mbalimbali nje ya mwili.
Pia mbavu hizo zimezungukwa na misuli mbalimbali ambayo hutanuka na kusinyaa na kuyasaidia mapafu katika kuvuta hewa ndani na kutoa hewa chafu nje.
 
Back
Top Bottom