Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Jamani hapa Nansio hata wa babu wanawapa wa bibi rose na wanafurahi balaa! We nae, basi ngoja niuze dagaa wangu nikainunue hiyo sijui nini vile? [emoji23][emoji23]
Haya masharti magumu aisee. Sisi wafuasi wa Mzee Wenga Mwaloni hatukaribishwi?Hahaaa hao wabibi wanakosa uhondo
Safi kabisa uza hao dagaa fasta nakusubiria ila shart ununue na jezi ya man u valisha mzee wa liver uje nae,aje anaimba glory glory Manchester united hewalaa belaire itakubalika