Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Haya masharti magumu aisee. Sisi wafuasi wa Mzee Wenga Mwaloni hatukaribishwi?
Hahaaa hao wabibi wanakosa uhondo
Safi kabisa uza hao dagaa fasta nakusubiria ila shart ununue na jezi ya man u valisha mzee wa liver uje nae,aje anaimba glory glory Manchester united hewalaa belaire itakubalika
Hilo shart la Mzee wa Liver kuja akiimba huo wimbo ni gumu kwa kweli! Ni sawa na mimi uniambie sasa hivi kukutafutia mzizi wa jiwe nikiupata nikuletee! Poa lakini, siku hesabu zangu za hawa dagaa zikikaa sawa, ntakuzukia tu hapo! [emoji1]
Tamu sana.Hii filamu star ni Jet lee