Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

824b2d26a4783f96cbdcbc6505c8eb0b.jpg
😛😀
 
Mja atakapohisi sakaraatul maut na kukaribia mwisho wake katika maisha haya ya dunia basi na ahudhurishe katika moyo wake hisia hizo na aelekee kwa Mola wake akiwa na mapenzi na khofu kwake na akithirishe kauli ya ‘Laa ilaha illa llah’ ili ahitimishe itikadi yake kwa kauli hiyo ya Tawhid.

Watu wote watakaokuwa karibu yake katika hali hiyo ya sakaraatul mautwamkumbushe hilo na wamwambie aliseme kwa upole ili Mwenyezi Mungu amuwafikishe kulitamka.

Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa Sallam) amesema, “Walakinieni watu wenu wanaokaribia kufa Laa ilaha illa llah (Muslim)

Katika riwaya nyingine ya Ibn Hibaan amesema,“ Atakaye tamka maneno yake ya mwisho Laa ilaha illa llah ataingia peponi siku moja katika dahr hata likimpata litakalompata.”

Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa Sallam) amesema katika hadithi nyingine kuwa, “Atakayekufa na hali amekufa akifahamu kuwa hakuna Mola Apasae kuabudiwa kwa haki ila Allah basi mtu huyo ataingia peponi.” (Muslim)

Hali kadhalika katika hadithi yake nyingine amesema kuwa, “Atakayekufa na hakumshirikisha Allah (Subhaanahu wa Ta'ala) na kitu chochote ataingia peponi.”(Muslim)

View attachment 602638
Duh!

Nimechokoza mhadhara naona. Nilitaka tu tafsiri sisisi ya maneno hayo na siyo mhadhara mzima. Anyway ASANTE!!!
 
Halitaenda, maana hakuna zawadi ya kuku from town to village. [emoji3] [emoji3] [emoji3] ukipeleka kuku kijijini utaonekana hamnazo
Unawaambia ni libroila tono tono la kutoka mjini. Watalikubali tu na kuanza kulishangaa jinsi lilivyo lege lege hata katika mambo ya msingi kama kuchakura chakula na kukwepa hatari za kutafunwa na mapakashume na masaibu mengine ya kijijini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom