Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Hatari ya denja
Hii inaitwa jaza ujazwe likes
Hahahaha kweli mkuu lazima ujipange kisawasawaSema mkuu. Bila ugali wa muhogo na kamongo wakavu hapo unaweza kuchemsha na kuishia kuongela mmawaksi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo hapo 😛Nipen like jaman
HahahahaView attachment 601661
Hahaaaa, funny! [emoji23][emoji23]
Hahahaha Na wewe unawikaKokolikoooooo.kokolikoooooo.jamani msishangae kuna kuku hapa pembeni anawika usiku huu
Mkuu habari yakoJermaine Dupri (JD) ndie aliewatoa
Hiyo kitu si mchezoKaZi KwELi
njoo PM nikusabahi 🙄Sawaaa😛
Haswaaaaaaa
Kweli mkuu uaminifu umekuwa mdogo sana hata kwa nduguWatu yameshawatokea kweli. Unapiga boksi unajinyima unafika home hakuna kitu. Na ukizubaa wanakuua. Mambo yamebadilka sana !!!
DuMatapeli wa kimataifa hao mkuu. Kuna jamaa alishawahi kupiga hela ndefu baada ya kuuza Eiffel tower...
So sadNi takriban Miaka minne hivi sasa imeshatimia.
Madawa ya Kulevya Kiongozi.
Alizidisha Kipimo.
Ngada ni Hatari Kiongozi.
Ngada ni Sumu Kiongozi
Tribe called quest nayeWengi tu wametutoka Kiongozi.
Sijui hawa wengine ulisikia?
Heavy D.
Nate Dogg.
Phife Dawg (wa A Tribe called Quest).
Hawa ni wa haraka haraka walionijia Kichwani
Kama kawaida mkuuHuu uzi ni wa mwaka kama siyo wa decade. Yani page ya 1260 na kuendelea, lakini bado napata makinikia ya kufa mtu! Utoaji ni hulka ya binadamu. Basi tu.
Hajipendi huyoutapita katikati yao![]()