Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kazi ipooooo !!!
87d1e5950be4951c6f56d2efcc9e7a19.jpg
 
Tribe called quest naye
Naam Kiongozi.

Kundi lao linaitwa A Tribe called Quest.

Alietutoka ni mmoja wa Wasanii kwenye Kundi hilo ambae kwa jina anaitwa Phife Dawg (Ndie Kichwa chao).

Kiongozi ulisikia na PRODIGY (wa MOBB DEEP) hatuko nae tena.

Nilisahau kukuambia siku niliyowataja Heavy D, Nate Dogg na Phife Dawg.

Yaani PRODIGY hakunijia haraka haraka
 
Back
Top Bottom