Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Wewe ni mgeni humu. Mimi ni katibu mkuu wa CHAWAMITA - Chama cha Wapenda Misambwanda Tanzania. Ndiyo maana picha zingine (kama hii hapa chini) zina nembo ya chama. Hapa nipo kazini nawakilisha chama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We mrembo Numbisa umenishinda kwa kweliVigezo na masharti kuzingatiwa,welcome ukiyatimiza
Eenheee naongeza jingine ni cole kurudi laivu kucheki epielo bila ruhusa ya carba ukifanikiwa hata usipouza dagaa ukuje tu hahahaha