Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

haaaa haaaa haaaa nipo ndugu yangu mihangaiko tu si unajua,sema huu ni uzi wetu sote hata nisipokuwepo najua mpo mnasongesha kama kawa,nafurahi kuwa pamoja nanyi
Sasa kutokana hukuonekana siku nyingi na ukatuachia binamu yako, mpwa wako, nduguyo wa karibu KK. Na akatuchafua sana humu ndani.
Kwa heshima tunaomba ulike kila POST humu ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…